Wanadhani kuwa Afrika hatujui ladha za vyakula, kwani hatuna luxury hiyo.Ikabidi nicheke sana, kwa maana nikawauliza hivi hata historia za juzi juzi ambazo zinaikubali Afrika kama sehemu ambayo utundu wa viungo vya Chakula umesahaulika? ... Mmoja wapo ni huyu Coco Fathi Reinharz aletaye mapishi ya kiafrika kwenye Five Star hotels. Ninachojua, sifa yao kubwa imetokana kuweza kuandaa na kukifikisha chakula mezani kwa staili ambazo Wamagharibi wanazizimia . ...